SERIKALI imeombwa kushawishi wawekezaji wengi kuwekeza karakana za kisasa za magari kutokana na kuokoa muda wa matengenezo ya ...
Wanawake nchini wameendelea kuhamasishwa kuchangamkia fursa zitokanazo na nishati safi ya kupikia zikiwamo za utengenezaji wa majiko banifu na mkaa mbadala. Rai hiyo imetolewa leo mkoani Dar es Salaam ...
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mechi za kimataifa, Yanga na Simba zimeonekana kukwepana kwenda pamoja nchini Algeria kwa ...
Bodi ya Chai Tanzania (TBT) imeanza juhudi za kurejesha masoko ya chai yaliyopotea kwa lengo la kukabiliana na changamoto ...
KIKOSI cha Azam FC leo kinatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma kucheza dhidi ya wenyeji wao Dodoma Jiji, katika ...
MKUU wa mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameipongeza timu ya Tabora United kwa kuendelea kufanya vyema kwenye michezo ya Ligi Kuu ...
KOCHA wa Inter Zanzibar FC, Hassan Mohmed amesema licha ya kupokea vipigo mfululizo katika michezo ya Ligi Kuu ya Zanzibar, ...
NI bomu jipya kwa maisha ya watu. Hivi ndivyo inavyoweza kuelezwa kutokana na hatari inayoinyemelea jamii kutokana na ...
MAKAMU wa Rais wa Dk. Philip Mpango, amesema marehemu Dk. Faustine Ndugulile, Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani ...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesisitiza Watanzania kuendelea kudumisha amani sambamba na kutumia ...
MANUSURA wa jengo lililoporomoka la biashara Kariakoo, Dar es Salaam na kusababisha vifo vya watu 31 na wengine 88 kujeruhiwa ...
WAKUU wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamemwidhinisha Rais William Ruto wa nchini Kenya kuwa Mwenyekiti Mpya wa jumuiya hiyo, baada ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini, kumaliza muda wake.